Mialiko ya Kidijitali • Usimamizi wa Matukio +255769926865 info@niakadi.co.tz
MWALIKO WA KIDIGITALI

Karibu! Tengeneza Mwaliko Mzuri kwa Siku Yako Maalum.

Tengeneza mialiko mizuri kidijitali na uitume papo hapo kupitia WhatsApp na SMS kwa wageni wako wote.

Karibu! Tengeneza Mwaliko Mzuri kwa Siku Yako Maalum.
MWALIKO WA KIDIJITALI

Tunatuma Mialiko ya Kidijitali.

Mialiko ya Kidijitali ya Kisasa kwa Watanzania. Tunatuma Kupitia WhatsApp na SMS, Acha Kumbukumbu Nzuri Kwa Wageni Wako.

Tunatuma Mialiko ya Kidijitali.
MWALIKO WA KIDIJITALI.

Rahisisha Mialiko na Uhakiki wa Wageni Wako.

Nia Kadi ni mfumo unaowasaidia waandaaji wa matukio kutuma mialiko, kufuatilia majibu ya wageni, kupanga orodha ya wageni na kuhakiki wageni kwa urahisi.

Rahisisha Mialiko na Uhakiki wa Wageni Wako.
NIA KADI
Kuhusu Sisi

Kwa nini NIA KADI

NIA KADI ilianzishwa kwa lengo moja rahisi: kurahisisha maandalizi ya matukio yako ili yawe ya furaha na bila usumbufu.

Tunajua kuwa kuandaa tukio si jambo rahisi. Kusimamia orodha ya wageni, kufuatilia waliothibitisha kuhudhuria, kutuma vikumbusho na kuhakiki wageni mlangoni kunaweza kukuchukua muda mwingi. Badala ya kufurahia siku yako muhimu, unaweza kujikuta ukihangaika na mambo mengi.

Ndiyo maana tumeunda NIA KADI mfumo rahisi na wa kuaminika wa mialiko ya kidijitali kwa aina zote za matukio. Unaweza kutengeneza na kutuma mialiko mizuri kupitia WhatsApp au SMS, kufuatilia majibu ya wageni papo hapo, na kumpatia kila mgeni kadi yenye QR Code ya kipekee kwa ajili ya uhakiki wa haraka na salama siku ya tukio.

Iwe unaandaa harusi, send-off, birthday, graduation, kitchen party, sherehe ya familia, hafla ya kampuni, au tukio lolote maalum, NIA KADI hukusaidia kusimamia kila kitu sehemu moja.

Wewe furahia tukio lako pamoja na wageni wako, nasi tutakusaidia kusimamia mengine yote.

Gharama

Pakeji Zetu

MIALIKO FAHARI
TZS 1,500 / kadi
  • Kutengeneza Kadi ya Mwaliko
  • Kusambaza Kadi kwa Waalikwa
  • Kuthibitisha Mwaliko kwa Simu (Kwa wasiothibitisha)
  • Posta ya "Save the Date"
  • Kukagua Kadi Siku ya Tukio
  • Kutuma Ujumbe wa Shukran kwa Waalikwa
  • Kutumia link ya kufuatilia maendeleo ya mialiko (Ripoti)
Anza Sasa
MICHANGO FEDHA
TZS 200,000
  • 1,000 SMS
  • 1,000 WhatsApp
  • Kutengeneza Kadi ya Michango
  • Kutengeneza Ujumbe wa Michango
  • Kutuma Ujumbe kwa walengwa kwa SMS & WhatsApp
  • Ripoti
Anza Sasa
MICHANGO DHAHABU
TZS 380,000
  • 2,000 SMS
  • 2,000 WhatsApp
  • Kutengeneza Kadi ya Michango
  • Kutengeneza Ujumbe wa Michango
  • Kutuma Ujumbe kwa walengwa kwa SMS & WhatsApp
  • Ripoti
Anza Sasa
Katalogi

Miundo ya Mialiko

HARUSI TZS 1,500 HARUSI invitation template

SENDOFF TZS 1,500 SENDOFF invitation template
SENDOFF TZS 1,500 SENDOFF invitation template
SENDOFF TZS 1,500 SENDOFF invitation template
Wateja wetu wakitumia NIA KADI
Papo kwa Papo
SMS & WhatsApp
Hatua Rahisi

Jinsi Tunavyofanya Kazi

  1. 1

    Tunatuma mialiko

    Tunatuma mialiko ya kidijitali kupitia WhatsApp na SMS, ikiwa na maelezo yote ya tukio lako.

  2. 2

    Fuatilia RSVP

    Fuatilia majibu ya wageni papo kwa papo. Fahamu waliohakikisha kuhudhuria, waliokataa, na ambao bado hawajajibu ili uwe na idadi sahihi ya wageni kwa urahisi.

  3. 3

    Kagua na Thibitisha Kuingia

    Rahisisha ukaguzi wa wageni kwa kutumia QR Code ya kipekee. Changanua Kadi ya Kidijitali ili kuwaruhusu wageni kuingia haraka, kwa usalama, na bila kutumia karatasi.

Anza Sasa

Fanya Tukio Lako Lijalo Kuwa la Kukumbukwa

Jiunge na waandaaji wengi wanaotuamini kutengeneza, kutuma na kufuatilia mialiko mizuri ya kidijitali kwa kila sherehe.